Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yapata Nafasi ya Uongozi wa Kamati ya Uongozi wa Bureau ya STC
Kufuatia ajenda za mkutano wa Kawaida wa Mawaziri wa Fedha, kulifanyika uchaguzi wa Kamati ya Ungozi ya Bureau ambapo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepata nafasi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kwanza kwenye Kamati ya Uongozi wa… Read More







